HapaMchungaji Israel Natse akishusha upako kwa wagonjwa,Natse ambaye ni Mbunge wa tiketi ya Chadema ndiye Meneja wa Kampeni wa Mgombea wa Chadema Joshua Nasari,wa kwanza kushoto.
Mgombea Ubunge Jimbo la Arumeru Mashiki kwa tiketi ya Chadema aliyevaa gwanda Joshua
Nasari akimsabahi akiwa ameambatana na Meneja Kampeni wake Mchungaji Israel Natse wakimsabahi
kijana Peter Gadiel ambaye alipata ajali kwenye Msafara wa kampeni za chama
hicho.
No comments:
Post a Comment