Tuesday, June 12, 2012

                         BUNGE LA BAJETI LAANZA LEO DODOMA.

Waziri Mkuu, Mizengo pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Pauline Gekul na watoto wake Irene (kushoto) na Inocentia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 12,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Spika wa Bunge Anne Makinda akimkabidhi kanuni za Bunge Mbunge wa Kuteluliwa James Mbatia baada ya kumwapisha, Bungeni Mjini Dodoma, Juni 12,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Kuteuliwa Janet Zebedayo Mbene akiapa, Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge waKuteuliwa Saada Mkuya Salum akiapa Bungeni Mjini Dodoma Juni 12, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu na Full Shangwe Blog)

1 comment: