Sunday, May 13, 2012

MWANDISHI WA HABARI MKONGWE SAMWELI SHAO NAE AACHANA NA UKAPERA.




Hapa Samweli Shao akiwa na mke wake Liliani Mbowe mara baada ya Askofu wa KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI Martin Shao kufungisha ndoa yao Kanisani..

Baada ya kukabidhiwa taa kwa ajili ya huduma.

Wakiwa pamoja kwenye picha ya pamoja..
Samweli Shao Akiwa Ukumbini akimlisha mke wake Liliani Mbowe keki kama ishara ya upendo.
Harusi ilihudhiriwa na watu mbalimbali maarufu kutoka kila kona ya nchi wakiwemo viongoziu wa dini.
 
Chama cha waandishi wa Habari Mkoani Kilimanjaro(MECKI)kikitoa zawadi yake kwa bwana Samweli na Mke wake vaada ya kufunga harusi yake...

Keki ya waandishi wa habari Mkoani Kilimanjaro ikikabidhiwa kwa mmoja wa kiongozi wao.

 


No comments:

Post a Comment