Taarifa
zilizotua hivi punde kupitia mwanahabari wa mtandao huu wa www.tanzania-leo. blogspot.com
kutoka chumba cha habari za radio Uhuru zinadai kuwa Rais Jakaya Kikwete
amesogeza mbele hotuba yake kwa Taifa aliyopanga kuitoa leo majira ya saa 10
jioni kupitia wazee wa mkoa wa Dar es
Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee na sasa Rais
Kikwete atalihotubia Taifa jumamosi majira ya saa 5.00 asubuhi katika ukumbi
huo.
Inadaiwa rais amefanya hivyo ili kupisha mazungumzo zaidi baada ya mahakama ya
kazi kusitisha mgomo wa madaktari .
Tuwe pamoja kuendelea kupata hotuba hiyo...
|
No comments:
Post a Comment